SIMACCOUNT

Simu yako, Akaunti yako

SIMAccount ni mfumo wa utoaji huduma kielektroniki ambao unamuwezesha mteja kujisajili na kufungua akaunti kupitia SIMU YA MKONONI na kupata huduma za kifedha kwa urahisi na salama. . Watumiaji wa mitandao ya simu za mkononi kama Tigo, Vodacom, Airtel, na Halotel wanaweza kujiunga na huduma ya SIMAccount kwa kupiga *150*62#